top of page
1. Hakikisha kuwa kabla ya kutuma maombi ya fedha, unawasiliana na Mhazini ili upewe "Expenditure Control Number"
2. Maombi yoyote yale ambayo Barua ya maombi inayotolewa na mfumo haitasainiwa, hayatapatiwa fedha
3. Maombi yoyote yale ambayo hayataandaliwa angalau masaa 24 kabla ya tukio hayatapewa fedha kwa tukio la siku inayofuata
4. Hakikisha unafanya "Retirement" ya malipo yote uliyopokea Baada ya shughuli yako kuisha. Malipo yote yanatakiwa kufanyiwa "Retirement" ndani ya siku 30 kutoka yalipotolewa, kushindwa kufanya hivyo kutafanya urudishe fedha ulizopewa.
5. Ombi lolote ambalo halitafuata utaratibu wote wa mfumo halitapewa fedha kabisa.
bottom of page