top of page

News & Events

New gift 4.gif

Raisi wa chama cha wafamasia Tanzania, anawashukuru wafamasia wote kwa kuitikia kwa wingi wito wa Mkutano mkuu na kongamano la kisayansa kwa mwaka 2022 Lililofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma. EXCOM yote na viongozi wa chama tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kufanikisha mkutano huu na kuvuka malengo ya mahudhurio

Executive Committee

President_edited.png
Katundu_edited.png
bottom of page